Kiswahili Contest Invitation: Mahiga Girls’ Secondary School
Mahiga Girls’ Secondary School, in collaboration with its sponsors, cordially invites secondary school students to participate in a Kiswahili contest aimed at improving Kiswahili performance among students. The contest will take place on Sunday, the 26th of May, 2024, at Mahiga Girls’ Secondary School.
WARSHA KUHUSU MAANDALIZI YA MCHUANO WA KISWAHILI KWA SHULE ZA UPILI
Tarehe: 26 Mei, 2024
Muda: 7:30 asubuhi – 4:00 alasiri
Mahali: Shule ya Upili ya Wasichana ya Mahiga
Kwa wanafunzi na walimu wa Kiswahili,
Idara ya Kiswahili ya shule ya Upili ya Wasichana ya Mahiga, ikishirikiana na wadhamini wake, inawaalika wanafunzi wa shule za pili kwenye mchuano wa Kiswahili ili kuboresha matokeo ya Kiswahili ya wanafuu.
Mchuano huu utaandaliwa siku ya Jumapili, tarehe 26 MEI, 2024 katika shule ya upili ya Mahiga, kuanzia saa moja unasu (7:30) anabuhi hadi saa kumi (4:00) alasiri.
1) Kila shule ienda zaidi ya kikundi kimoja ambapo kila kikundi kitajumuisha
a. Wasakidato cha pili wawili
b. Wanakidato cha tatu wat
Wanakidato cha nne watatu
Jumla ya wanafunzi wanane kwa kila kiloandi
2) Wanafunzi wa
katika kidato cha tata sa cha nne wajiandaa kila mmoja katika karatasi yake, yaani: Karatasi ya Kwanza (PPI)-Mwanafunzi mmoja
Karatasi ya Pi
(PP2)- Mwanafunzi mmoja
Karatasi ya T
(PP3). Mwanafunzi mmoja
3) Shule anda makundi mangi iwezekanavyo.
4) Kila kikundi kita ada ya shilingi elfu tanu (Ksh. 3000) ili kugharamia mchakato wa mchuano.
5) Mitihani itasahihishwa mikandoni na wanafunzi katuzwa tukizingatia hadhi ya shule, yaani, shule za kitaifa, kaunti ya ziada, kaunti, akaunti ndogo.
6) Banda ya mchuano, wanafunzi watajiunga na makundi ya simposia, wakiongozwa na walimu.
7) Wanafuzi wataelekezwa jinsi kila karatasi ilivyosahihishwa na watahiniwaku
8) Wafawabebewe chamcha toka shuleni mwao.
MATOKEO YA KISWAHILI KATIKA MTIHANI WA KITAIFA MWAKA 2022 NA 2013 MTAWALIA
KCSE Year | Grade Distribution |
---|---|
2023 | A (71), A- (122), B+ (87), B (28), C+ (5), C (0), D+ (0), D (0), D- (0), E (0) |
2022 | A (7), A- (39), B+ (10), B (81), C+ (39), C (21), D+ (7), D (3), D- (0), E (0) |
Kwa maelezo zaidi kuhusu maandalizi ya mchuano, tafadhali wasiliana na Mkuu wa Idara, Bi. Gitonga kupitia simu nambari 0723152048, au Mkuu wa Shule, Bi. Wanderi kupitia simu nambari 0725813094.
Tunatarajia kwa hamu kuona ushiriki wenu katika tukio hili muhimu la kitaaluma.
In Our Other News: Mathematics Conference/Workshop: Asumbi Girls High School
Kiswahili Contest Invitation: Mahiga Girls’ Secondary School