• Home
  • News
  • TSC
  • Featured
  • Higher Education
  • Vacancies
  • KUCCPS
  • Notes
  • Uganda
Saturday, May 17, 2025
Teachers Updates
No Result
View All Result
  • Home
  • News
  • TSC
  • Featured
  • Higher Education
  • Vacancies
  • KUCCPS
  • Notes
  • Uganda
  • Home
  • News
  • TSC
  • Featured
  • Higher Education
  • Vacancies
  • KUCCPS
  • Notes
  • Uganda
No Result
View All Result
Teachers Updates
No Result
View All Result
Home Featured

Kiswahili Teachers Workshop: Mang’u High School

Hezron Rooy by Hezron Rooy
April 2, 2024
in Featured
0
Kiswahili Teachers Workshop: Mang'u High School

Kiswahili Teachers Workshop: Mang'u High School

826
SHARES
4.9k
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Kiswahili Teachers Workshop: Mang’u High School

MINT: KONGAMANO LA KITAIFA LA WALIMU WA KISWAHILI WA SHULE ZA UPILI

Idara ya Kiswahili ya Shule ya Upili ya Mang’u ikishirikiana na jumba la uchapishaji la Moran wana fahari kuu kuwaalika walimu wapendwa wa lugha ya Kiswahili wa shule yako kuhudhuria kongamano la kitaifa la kila mwaka.

READ ALSO

Teachers Sue TSC to Block New Hardship Allowance Zoning Plan

Verification of Certificates: What TSC Expects from Applicants During Recruitment Process

How to File a Complaint If You’re Unhappy with TSC Recruitment Results

TSC Recruitment Merit Lists: How They’re Compiled and Where to View Them

TSC Recruitment Timelines and Submission Deadlines Explained

No Pay Rise for JSS Heads Despite Added Duties – CS Ogamba

Kongamano hili litafanyika katika ukumbi wa shule ya Mang’u siku ya Jumamosi tarehe 11 Mei, 2024 kuanzia saa mbili asubuhi.
Masuala yatakayoshughulikiwa

  1. Maelezo ya kina kuhusu riwaya ya Nguu za Jadi kutoka kwa mwandishi.
  2. Masuala ibuka katika utahini wa karatasi ya kwanza, pili na ya tatu.
  3. Maandalizi ya watahiniwa kwa ajili ya mitihani ya kitaifa ya Kiswahili.
  4. Mbinu bora za kufundisha vitabu vya fasihi (Nguu za Jadi, Bembea ya Maisha na Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine).
    Wawasilishaji waalikwa wa kongamano ni:
  5. Prof. Clara Momanyi – Mwandishi, Nguu za Jadi
  6. Patrick Mandila
  7. Chite Rodgers

For More Updates Join Our WhatsApp Channel

Kila mwalimu mshiriki anatarajiwa kulipa shilingi elfu mbili na mia tano (Ksh. 2500). Uje na matini teule (Nguu za Jadi, Bembea ya Maisha na Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine).

Thibitisha kushiriki kwako/kwenu kabla ya siku ya kongamano kwa minajili ya maandalizi kupitia kwa nambari yoyote ya rununu, kati ya zifuatazo: 0722800872/ 0720410677/ 0708292677.

Wako Mwaminifu,
Bi. Wachira-Mwandalizi
Mkuu wa Idara za Lugha
Nakala kwa:
Mkurugenzi wa elimu, Gatuzi Dogo la Juja Mkurugenzi wa TSC, Gatuzi Dogo la Juja
Mwenyekiti wa KESSHA, Gatuzi Dogo la Juja
FOR SUB-COUNTY DIRECTOR OF EDUCATION
PO BOX 753-01001 JUJA

In Our Other News: Mathematics Conference/Workshop: Asumbi Girls High School

Kiswahili Teachers Workshop: Mang’u High School

Follow Teachers Updates on Facebook, LinkedIn, X (Twitter), WhatsApp, Telegram, and Instagram. Get in touch with our editors at [email protected].

Tags: KiswahiliTeachersWorkshop/Conference
Next Post
Primary, JSS, E.Y.E Teaching Jobs

Primary, JSS, E.Y.E Teaching Jobs

Discussion about this post

Categories

  • Featured
  • Higher Education
  • KUCCPS
  • News
  • Notes
  • TSC
  • Uganda
  • Vacancies

Recent Posts

  • Teachers Sue TSC to Block New Hardship Allowance Zoning Plan
  • Cash-Strapped Schools Enter Week Three Without Capitation Funds
  • Why One-Third of Kenyan Children Can’t Read – Literacy Survey
  • Principals Caught Between Politics, Pressure, and Pennies: The Harsh Reality of Managing Kenyan Schools
  • About
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions (T&c)
  • Contcat Us

© 2025 Teachers Updates

No Result
View All Result
  • Home
  • News
  • TSC
  • Featured
  • Higher Education
  • KUCCPS
  • Vacancies
  • Notes
  • Uganda

© 2025 Teachers Updates

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?