• Home
  • News
  • TSC
  • Featured
  • Higher Education
  • Vacancies
  • KUCCPS
  • Notes
  • Uganda
Thursday, May 29, 2025
Teachers Updates
No Result
View All Result
  • Home
  • News
  • TSC
  • Featured
  • Higher Education
  • Vacancies
  • KUCCPS
  • Notes
  • Uganda
  • Home
  • News
  • TSC
  • Featured
  • Higher Education
  • Vacancies
  • KUCCPS
  • Notes
  • Uganda
No Result
View All Result
Teachers Updates
No Result
View All Result
Home Featured

National Kiswahili Teachers’ Workshop Slated for February 1 in Nakuru

Hezron Rooy by Hezron Rooy
January 30, 2025
in Featured
0
National Kiswahili Teachers’ Workshop Slated for February 1 in Nakuru

National Kiswahili Teachers’ Workshop Slated for February 1 in Nakuru

828
SHARES
4.9k
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

National Kiswahili Teachers’ Workshop Slated for February 1 in Nakuru

KONGAMANO LA KITAIFA LA WALIMU WA KISWAHILI WA SHULE ZA UPILI NCHINI KENYA, JUMAMOSI TAREHE 1 FEBRUARI 2025

Kwa mara nyingine idara ya Kiswahili ikishirikiana na Bahari ya Elimu Radio 47 wana fahari kuwaalika walimu wapendwa wa lugha ashirafla ya Kiswahili litakalofanyika katika ukumbi wa shule ya kitaifa ya Nakuru siku ya Jumamosi tarehe 1 Februari, 2025 kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa kumi alasiri.

READ ALSO

Teachers Sue TSC to Block New Hardship Allowance Zoning Plan

Verification of Certificates: What TSC Expects from Applicants During Recruitment Process

How to File a Complaint If You’re Unhappy with TSC Recruitment Results

TSC Recruitment Merit Lists: How They’re Compiled and Where to View Them

TSC Recruitment Timelines and Submission Deadlines Explained

No Pay Rise for JSS Heads Despite Added Duties – CS Ogamba

Kikake kitashughulikia mambo yafuatayo

  1. Namna ya kuwaandaa watahiniwa na kupata matokeo bora katika somo la Kiswahili.
  2. Kanuni mpya na masuala ibuka utahini wa karatasi zote tatu za Kiswahili.
  3. Fasihi Simulizi na Ushairi.
  4. Vitabu vya Fasihi Andishi (Nguu za Jadi, Bembea ya Maisha na Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine).
National Kiswahili Teachers’ Workshop Slated for February 1 in Nakuru
National Kiswahili Teachers’ Workshop Slated for February 1 in Nakuru

Tumewaalika watahini wazoefu wa karatasi zote tatu za Kiswahili ambao walihusika katika usimamizi na usahihishaji wa KCSE 2024 na wana tajriba ya juu na ndefu katika ufundishaji, utahini na uandishi wa vitabu vya kiada, miongozo, vitabu vya marudio na marejeleo katika viwango vya shule za upili.

Aidha, Mkurugenzi wa Elimu, Kaunti ya Nakuru atafungua rasmi warsha hii saa tatu Asubuhi.

Kila mwalimu mshiriki anaombwa kujisajili kwa kulipa Shilingi elfu moja na mia tano (Kshs 1500) siku hiyo.
Pesa hizo zitagharamia maandalizi, vyeti na shughuli nyinginezo.

Tafadhali thibitisha ushiriki wenu kabla ya tarehe 31/01/2025 ili maandalizi ya kufana yaafikiwe kupitia kwa nambari hizi za rununu: 0720054747, 0724499080, 0721610155.

Wako Mwaminifu

OMARI JOHNSON

MKUU WA SOMO
NAKURU HIGH SCHOOL

NATIONAL LANGUAGES WORKSHOP NAKURU (2)Download Invitation

National Kiswahili Teachers’ Workshop Slated for February 1 in Nakuru

Follow Teachers Updates on Facebook, LinkedIn, X (Twitter), WhatsApp, Telegram, and Instagram. Get in touch with our editors at [email protected].

Tags: KiswahiliNakuru CountyTeachersWorkshop/Conference
Next Post
THE ULTIMATE ANNUAL WORKSHOP FOR ENGLISH TEACHERS SET FOR 1ST FEBRUARY 2025

THE ULTIMATE ANNUAL WORKSHOP FOR ENGLISH TEACHERS SET FOR 1ST FEBRUARY 2025

Discussion about this post

Categories

  • Featured
  • Higher Education
  • KUCCPS
  • News
  • Notes
  • TSC
  • Uganda
  • Vacancies

Recent Posts

  • Teachers Sue TSC to Block New Hardship Allowance Zoning Plan
  • Cash-Strapped Schools Enter Week Three Without Capitation Funds
  • Why One-Third of Kenyan Children Can’t Read – Literacy Survey
  • Principals Caught Between Politics, Pressure, and Pennies: The Harsh Reality of Managing Kenyan Schools
  • About
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions (T&c)
  • Contcat Us

© 2025 Teachers Updates

No Result
View All Result
  • Home
  • News
  • TSC
  • Featured
  • Higher Education
  • KUCCPS
  • Vacancies
  • Notes
  • Uganda

© 2025 Teachers Updates

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?